Wednesday, January 15, 2025

TAKUKURU KITETO YAOKOA MWANAFUNZI KITETO ASIOLEWE..

Kikosi cha kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Kiteto wameokoa mwanafunzi wa kidato cha pili ambaye mzazi wake ameshindwa kumsomesha na kuamua kutaka aolewe

Vid mahojiano..


No comments:

Post a Comment

Featured Post

DED HANANG AKUTANA NA WADAU WA STAKABADHI GHALANI

DED HANANG AKUTANA NA WADAU WA STAKABADHI GHALANI Na, Mudishatv blog Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Teresia Irafay,...

Popular Post