Tuesday, December 31, 2024

#WAFUGAJI WALIOUZA NYANDA ZA MALISHO NA KUNUNUA MIFUGO WARUDISHE FEDHA ZA WAKULIMA..

WAFUGAJI WALIOUZA NYANDA ZA MALISHO KWA AJILI YA KILIMO, WAREJESHE FEDHA HIZO KWA WENYEWE..


Na Mohamed CHUMVI

IMEELEZWA kuwa wafugaji waliouza ardhi ili wajipatie fedha kwa ajili ya kuongeza mifugo yao, warejeshe fedha hizo kwa wahusika ambao ni wakulima kwani hawatoruhusiwa kulima nyanda za malisho

Mfugaji huna mamlaka ya kuuza ardhi ya malisho, kwa waliouza ardhi na kupata fedha kza uongeza mifugo yao, waiuze mifugo hiyo na kurejesha fedha kwa wakulima hao ambao lengo lao ni kufanya shughuli za kilimi 

Mwenyekiti wa Nyanda za malisho Kiteto, Meshack Saskari akizungumza na Mudisha Tv amesema baadhi ya wafugaji wamekuwa wasumbufu kwa Serikali

"Fedha ulizopata wewe mfugaji kwa kuuza ardhi isivyo halali rejesha kwa mhusika kwani huna mamlaka ya kuuza ardhi hiyo na hii ndiyo inayochangia migogoro ya ardhi Kiteto kila kukicha"amesema Meshack

Nawataka waliouza ardhi na kupata fedha warejeshe fedha hizo haraka kwa mkulima ili naye atafute maeneo mbadala ya kilimo cha msimu huu na hii itapunguza sana mgogoro baina ya wakulima na wafugaji

Meshack ametoa wito kwa viongozi hao wa Serikali kuwachukulia hatua wenye tabia za kuuza ardhi na  kwa sasa migogoro hii inaendelea kuhatarisha maisha ya watu amesisitiza Meshaki
  

Mwisho

Saturday, December 28, 2024

KARIBU MUDISHA TV TUPERUZI MAGAZETI YA TANZANIA DEC 29.2024

Ngoma aibeba Simba SC kuhitimisha mzunguko wa kwanza, Karibu Mudisha tv, tupitie vichwa vya magazeti kwa pamoja, vilivyoandakwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Dec.29.2024.










HII HAPA KAULI YA DC KILOMBERO KUHUSU HIFADHI YA TAIFA UDZUNGWA


 Mkuu wa wilaya ya Kilombero ameeleza umuhimu wa hifadhi ya Taifa Udzungwa kwa ustaei wa jamii

Wednesday, December 25, 2024

RAIS DKT SAMIA ASIKIA KILIO CHA MTOTO MANYARA MWENYE TATIZO LA SARATANI


Na Mohamed Chumvi

Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha mtoto HUSSEIN(16) mwenye tatizo la saratani ya kichwa na kuagiza afikishwe hosp ya Benjamini Mkapa kwa matibabu

Awali mtoto huyo alirejeshwa nyumbani baada ya wazazi wake kukosa fedha za matibabu hali iliyotishia ustawi wa maisha yake

Mtoto HUSSEIN ambaye wazazi wake ni wakazi wa Babati vijijini mkoani Manyara, alipata tatizo la saratani ya Kichwa miaka michache iliyopita na kutishia maisha yake.

Akizungumza na Mudisha tv Dr. Humber BMH wa hospitali ya Benjamini Mkapa alisema Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imesikia kilio hicho cha mtoto huyo akiomba msaada wa matibabu baada ya Mudisha tv kuripoti.

"Baada ya Serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kusikia kilio cha mtoto huyu akiomba msaada wa matibabu nimeagizwa kufuatilia na sasa tumempokea saa saba usiku kuamkia Dec 26.2024 Hospitali ya Benjamin Mkapa baada ya Serikali ya Mkoa wa Manyara kumsafirisha na sasa anaendelea na matibabu yake"amesema Dr Humber.


Tuesday, December 24, 2024

KARIBU MUDISHA TV TUPERUZI VICHWA VYA HABARI MAGAZETI DEC 25.2024

HERI YA X-MASS; Karibu Mudisha tv, tupitie vichwa vya magazeti kwa pamoja, vilivyoandakwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Dec.25















NIkutakie X-Mass njema mtu wangu wa nguvu..m



Monday, December 23, 2024

KARIBU MUDISHA TV TUPERUZI MAGAZETI YA TANZANIA DEC 24.2024

 Karibu Mudisha tv, tupitie vichwa vya magazeti kwa pamoja, vilivyoandakwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Dec.24. 2024.
















Sunday, December 22, 2024

KARIBU MUDISHA TV TUPERUZI VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA TANZANIA DEC 23.2024

Karibu Mudisha tv, tupitie vichwa vya magazeti kwa pamoja, vilivyoandakwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Dec.23. 2024














Featured Post

DED HANANG AKUTANA NA WADAU WA STAKABADHI GHALANI

DED HANANG AKUTANA NA WADAU WA STAKABADHI GHALANI Na, Mudishatv blog Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Teresia Irafay,...

Popular Post